Bani Israil 17:84 قل كل يعمل على شاكلته فربكم اعلم بمن هو اهدى سبيلا ٨٤
قُلۡ
كُلّٞ
يَعۡمَلُ
عَلَىٰ
شَاكِلَتِهِۦ
فَرَبُّكُمۡ
أَعۡلَمُ
بِمَنۡ
هُوَ
أَهۡدَىٰ
سَبِيلٗا
٨٤
Na mwanaadamu tunapo mneemesha hugeuka na kujitenga kando. Na inapo mgusa shari hukata tamaa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sema, ewe Mtume, kuwaambia watu, «Kila mmoja miongoni mwenu anatenda kulingana na hali zinazonasibiana na yeye , na Mola wenu ni Mjuzi zaidi wa yule aliyeongoka zaidi njia ya haki.»
Sema, ewe Mtume, kuwaambia watu, «Kila mmoja miongoni mwenu anatenda kulingana na hali zinazonasibiana na yeye , na Mola wenu ni Mjuzi zaidi wa yule a…